ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda (verse:3) Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya